mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,253
- 22,843
Unakumbuka ratiba ya msimu uliopita Simba walicheza game ngapi nyumbani kabla ya kuanza kwenda mikoani?
Sijawahi kuona ratiba mbovu kama hii ya Tanzania... yani timu inacheza mechi 7 sijui 8 mfufulizo kwenye uwanja wa nyumbani! Hii ni aibu sana kwa Tanzania nzima na kwa kila mpenzi wa soka hapa nchini...