Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
40. Unasemaje?Bado mechi ngapi muanze kwenda mikoani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
40. Unasemaje?Bado mechi ngapi muanze kwenda mikoani?
sembo mwenyewe naye MBUMBUMBU, na kwenye kikao alikuwepo.Mmenizidi nguvu nyinyi vyuta mmekuwa wengi mtani CC:sembo inabidi aje asaidie
Hahahahahhaha sembo unaitwa huku ngoja nikuitie na wengine fungi, jimmymziray, silver_back, na wengineo wengiMmenizidi nguvu nyinyi vyuta mmekuwa wengi mtani CC:sembo inabidi aje asaidie
Ahsante kwa msaada maana mmenielemea silver_back fanya haraka mkubwa hawa vyura sioHahahahahhaha sembo unaitwa huku ngoja nikuitie na wengine fungi, jimmymziray, silver_back, na wengineo wengi
Lini Rais au Wizara imetoa hela kwa ajili yakusaidia au kuendesha Ligi Kuu?Haya ndio maswali sasa, impact ya rais ni motisha kwa wachezaji kutokutoa ruzuku ama kutoa kuhakikisha pesa wanayo (kupitia watendaji wake kama waziri na wizara nzima ya michezo
Thubutuuu! Akija tunafuta mabao tunaanza bila bila kwa heshima yake. Mtu mkubwa sana yule😂😂😂😂😂 anakuja
Kwa minaajili hiyo, usitegemee aje.sembo atakuja hapa hawa alliance wakipata goli. Yupo humu anacheki tuu comments
Mkubwa ukiona yanga vs African lyon unaelewa nini?