Yanga vs APR, tuchezeshe kikosi B ama C?

Yanga vs APR, tuchezeshe kikosi B ama C?

Mimi napendekeza kicheze kikosi C! Kile kilichocheza na KVZ. Maana kama waliweza kutoa sare na timu ya kauka nikuvae, na kupata sare tasa! Tukisema tuweke full mkoko, tutawapiga nyingi.
Ww jana ulimshauri Kipara aweke full mkoko kwa sbb hamtaki aibu...hahahhha
 
Back
Top Bottom