Nyie huko nasikia mmeleta kocha wa ngumi anazichapa sana na kagere.
Yanga choka mbaya jezi za kwenye mechi na za mazoezini ni hizo hizo sijui wanakwama wapi?