Yanga vs Kagera: huyu Nassoro Mwinchui aache kujiaibisha na uchawa kwa Yanga

Mwamuzi wa kati Mechi Kati ya Yanga na Kagera sugar Wana supa nkulukumbi anaonyesha waziwazi Kuwa yeye anachezesha Sio Kwa kufuata Sheria 17 za soka Bali mahaba binafsi dhidi ya Yanga na Sitaki kuamini kuwa ni issue ya bahasha toka Kwenye uongozi Bali uchawa wake.

Kuna matukio Zaidi ya matano ambayo ameamua Kwa kuwakandamiza Kagera sugar .... Kaua movement ya Kagera na Kona ambayo kibendera aliweka pembeni na kudai ni kona Lakini yeye ambaye alikuwa metre 50 toka Kwenye tukio akaona ni rafu amechezewa mchezaji wa Yanga... Ile penalty aliyokosa MVP WA MWAKA JANA imenistajabisha sana ... Mchezaji wa Yanga akiguswa tu kidogo refa yumo... Kagera wakipata faulo na kucheza advantage refa anaua advantage Ili Yanga wajipange... Hawa marefa SIO kuwa wanauwezo Mdogo Bali mapenzi binafsi yamezidi
Na tatu malogo?
 
Kama vipi mechi zijazo achezeshe Tatu Malogo.
 
Kuna jinsi nyuma mwiko wanacheza mechi nje ya uwanja katika ligi ya ndani kitu kinachowashinda wakicheza kimataifa
Ni kweli hawa wanacheza mechi nje ya uwanja,mara ya mwisho tulijifunga goli 1,lakini tukanyimwa penati 2 za wazi
 
Back
Top Bottom