Yanga vs Mamelodi ni Faida kwa taifa

Yanga vs Mamelodi ni Faida kwa taifa

Mnamo 17 May, 2023 klabu ya Mamelodi Sundowns ilitangaza kwenye mechi ya MAMELODI vs WYDAD AC kuwa Mashabiki watakaovaa jezi za Sundowns watapatiwa tiketi bure yaani tiketi itakuwa ni jezi ya njano katika uwanjani wa Loftus Versfeld.

Baada ya Mamelodi kutangaza hivyo hakuna Mwandishi au Media ya Afrika Kusini iliyoripoti kuwa ni aibu kwa timu hiyo kubwa kuweka mechi vs Wydad Ac bure, lengo la Mamelodi lilikuwa ni kupata sapoti ya Mashabiki na sio kwamba hawapendi pesa la hasha! Dhumuni ni Mashabiki zaidi ya Pesa, kwa wakati / nyakati zile.

Kila Mwandishi na Media za Afrika Kusini zilielewa hili lakini hivi punde klabu ya Yanga imetangaza kwenye mechi ya YANGA vs MAMELODI eneo la mzunguko ni bure, Waandishi na Media nyingi / wengi Tanzania wameripoti kuwa ni aibu kwenye mechi kama hii kuweka bure, wanaitupilia baharini sana Yanga kuweka bure na hapo ni mzunguko tu.

YANGA vs SUNDOWNS, kwenye hii mechi klabu ya Yanga inaangalia zaidi full sapoti ya Mashabiki ili washinde mipambano yao nothing else! Wengine husema Mamelodi haina Mashabiki wengi ndio maana inaruhusu bure, Mimi nauliza kwanini mechi zingine wanahitaji pesa na zingine bure? Jibu ni kuwa kuna baadhi ya mechi zinahitaji Mashabiki zaidi ya Pesa na Watu wa Marketing ya Yanga wamelifanyia kazi hili.

Tukubali kutokubaliana kuwa Viongozi wa klabu ya Yanga sana uwepo wa Mashabiki, na wala sio Aibu kama inavyochuliaa na baadhi ya Waandishi na Media! Wanahitaji watu wajae, Yanga haifanyi kazi kwa sababu za Watu wa Instagram au Twitter, shida watu wanaiabudu Mamelodi kama ndio watu halafu Yanga ni magogo na kushindwa kugundua ndani ni 11v11 hapo uwezo utaamua.

Ni Yanga kutoka Tanzania, ni National Interest kwenye mechi za kimataifa! Content choice ni muhimu! Theory of Keeping a Good Mind.

Moshi Jnr
Ujinga ni kushindwa hata kutofautisha waandishi wa africa kusini na wa tz.. sasa kama wa sauzi hawakjsema ndio wanaweka standards za kusema??
 
Hizi ndio faida kwa taifa broo?. Naomba faida kwa taifa sio kwa timu husika
Alie kuambia Yanga ni timu ya taifa ni nani?
JamiiForums1568655207.jpg
 
Ila makolo na wachambuzi wa bongo ni ishu haswa.

Last time Yanga alikomaa na kiingilio mechi fulani ilikuwa big match wachambuzi walijaa mazima lawama kibaooooo, Yanga sasa hivi kasema bure wamejaa mazima tena!
Wale wengi ni wehu na wana Roho mbaya. Ningekuwa Rage, ningewatandika vibao kabisa.
 
Mnamo 17 May, 2023 klabu ya Mamelodi Sundowns ilitangaza kwenye mechi ya MAMELODI vs WYDAD AC kuwa Mashabiki watakaovaa jezi za Sundowns watapatiwa tiketi bure yaani tiketi itakuwa ni jezi ya njano katika uwanjani wa Loftus Versfeld.

Baada ya Mamelodi kutangaza hivyo hakuna Mwandishi au Media ya Afrika Kusini iliyoripoti kuwa ni aibu kwa timu hiyo kubwa kuweka mechi vs Wydad Ac bure, lengo la Mamelodi lilikuwa ni kupata sapoti ya Mashabiki na sio kwamba hawapendi pesa la hasha! Dhumuni ni Mashabiki zaidi ya Pesa, kwa wakati / nyakati zile.

Kila Mwandishi na Media za Afrika Kusini zilielewa hili lakini hivi punde klabu ya Yanga imetangaza kwenye mechi ya YANGA vs MAMELODI eneo la mzunguko ni bure, Waandishi na Media nyingi / wengi Tanzania wameripoti kuwa ni aibu kwenye mechi kama hii kuweka bure, wanaitupilia baharini sana Yanga kuweka bure na hapo ni mzunguko tu.

YANGA vs SUNDOWNS, kwenye hii mechi klabu ya Yanga inaangalia zaidi full sapoti ya Mashabiki ili washinde mipambano yao nothing else! Wengine husema Mamelodi haina Mashabiki wengi ndio maana inaruhusu bure, Mimi nauliza kwanini mechi zingine wanahitaji pesa na zingine bure? Jibu ni kuwa kuna baadhi ya mechi zinahitaji Mashabiki zaidi ya Pesa na Watu wa Marketing ya Yanga wamelifanyia kazi hili.

Tukubali kutokubaliana kuwa Viongozi wa klabu ya Yanga sana uwepo wa Mashabiki, na wala sio Aibu kama inavyochuliaa na baadhi ya Waandishi na Media! Wanahitaji watu wajae, Yanga haifanyi kazi kwa sababu za Watu wa Instagram au Twitter, shida watu wanaiabudu Mamelodi kama ndio watu halafu Yanga ni magogo na kushindwa kugundua ndani ni 11v11 hapo uwezo utaamua.

Ni Yanga kutoka Tanzania, ni National Interest kwenye mechi za kimataifa! Content choice ni muhimu! Theory of Keeping a Good Mind.

Moshi Jnr
IMG_0390.jpeg
 
Back
Top Bottom