Yanga vs Mamelodi ni Faida kwa taifa

Ujinga ni kushindwa hata kutofautisha waandishi wa africa kusini na wa tz.. sasa kama wa sauzi hawakjsema ndio wanaweka standards za kusema??
 
Ila makolo na wachambuzi wa bongo ni ishu haswa.

Last time Yanga alikomaa na kiingilio mechi fulani ilikuwa big match wachambuzi walijaa mazima lawama kibaooooo, Yanga sasa hivi kasema bure wamejaa mazima tena!
Wale wengi ni wehu na wana Roho mbaya. Ningekuwa Rage, ningewatandika vibao kabisa.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…