Yanga vs Mbeya city live: 13/9/2020

Aeronautical

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2019
Posts
217
Reaction score
396
Habari wana Jamiiforums
Baada ya jana kutabiri mikia kutoa sare, leo mabingwa wa kihistoria wa Tanzania tunaenda kucheza na Mbeya city katika uwanja wa Benjamin Mkapa. Nawakaribisha mashabiki wa mikia wajifunze na waweze kuona mpira wa ukweli na usio na makandokando.
Na ichi ndicho kikosi cha leo.

Mapumziko: Yanga 0 vs Mbeya city 0
Dakika ya 84: Yanga 1 vs Mbeya city 0
Goal: Lamine MORO
Full time: Yanga 1 vs Mbeya city 0
 
Yule dogo white ( Carlinho) mlimsajili awe anakaa benchi tu? Previous match alibaki Sub mpaka game inaisha hajacheza na leo tena anabaki sub sasa itajulikana vipi kama nae ni mkali au kiazi tu
 
Ligi ya kwao ya Angola ilisimama kwa muda wa miezi 6 ivo inahitaji mda ili awe fit na leo ataingia kutokea sub aendelee kua fit na michezo ijayo
 
tusubir tuone kama watafikia point 4,2 au kubakia na hiyo moja.
 
Kwani huoni anauzia jezi?
Yule dogo white ( Carlinho) mlimsajili awe anakaa benchi tu? Previous match alibaki Sub mpaka game inaisha hajacheza na leo tena anabaki sub sasa itajulikana vipi kama nae ni mkali au kiazi tu
 
Yule dogo white ( Carlinho) mlimsajili awe anakaa benchi tu? Previous match alibaki Sub mpaka game inaisha hajacheza na leo tena anabaki sub sasa itajulikana vipi kama nae ni mkali au kiazi tu
Vipi mugalu?!
 
Sijui kwa nini kocha bado haoni combination ya Farid na Kisinda.
Ni kweli kabisa mie kiukweli simkubali sana Kaseke na natamani winga awe Kisinda na Farid au Kisinda na Niyonzima ili Farid acheze number 10. Naona kocha msaidizi anambeba sana Kaseke nadhani labda alimfundisha toka Mbeya city na akampa na unahodha
 
Hii ndiyo shida ya kubebana kama hili lina ukweli ndani yake.
Lakini kuna siku makocha watakubali ushauri huu.
 
Ni kweli kabisa Farid ana uwezo mkubwa sana kuliko Kaseke. Kaseke anaweza akacheza vizuri dakika 10 alafu dk 80 akaharibu au akacheza vizuri mechi 3 akaharibu 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…