Yanga vs Mbeya city live: 13/9/2020

Yanga vs Mbeya city live: 13/9/2020

Kumtukana MTU aliyekuudhi kunapunguza maumivu ya maudhi, hvyo sio mbaya muacha atukane bhna kwani sh ngapi... Anapunguza sumu ya maudhi
Sio sawa kiongozi, hakuna maudhi ya matusi ila kuna maushi kama watani. Humu hatufahamiani sio jambo zuri kumtukana usiyemfahamu na ata unaye mfahamu
 
Yanga leo walikua na shots on target ngapi? Upofu huu ni balaa. Mashambulizi mengi yapi? Hata shots off target hazizidi tano..
Kuna watu ubishi ndio asili yao, timu inaweza ikatengeneza mashumbulizi mengi lakini kwa upande wa umaliziaji ukawa ni shida. Kutengeneza mashumbulizi na swala la umaliziaji ni vitu viwili tofauti. Haya niambie short off target umesema hazizidi tano vipi na corner zilikuwa ngapi?
 
Back
Top Bottom