Aeronautical
JF-Expert Member
- Jun 19, 2019
- 217
- 396
- Thread starter
- #81
Sio sawa kiongozi, hakuna maudhi ya matusi ila kuna maushi kama watani. Humu hatufahamiani sio jambo zuri kumtukana usiyemfahamu na ata unaye mfahamuKumtukana MTU aliyekuudhi kunapunguza maumivu ya maudhi, hvyo sio mbaya muacha atukane bhna kwani sh ngapi... Anapunguza sumu ya maudhi