Yanga Vs Mo Bejaia: Yanga yashinda 1 - 0 Mo Bejaia

Yanga Vs Mo Bejaia: Yanga yashinda 1 - 0 Mo Bejaia

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Posts
42,023
Reaction score
12,811


Hapa tutapeana updates za mechi ya yanga Na Mo Bejaia.

Updates:
DK 1: Mo wanafanya shambulizi la kushtukiza ktk lango la yanga lakini halina madhara.

DK. 3: Yanga 1 (Tambwe anawaandikia yanga goli la kwanza baada ya faulo iliyopigwa Na Juma Abdul.

DK. 18: Andrew Vincent anatoka nafasi yake inachukuliwa Na Kevin Yondan baada ya kuumia

DK. 44: Yanga wanakosa goli la wazi baada ya faulo ya kamusoko kuokolewa Na mabeki wa MO

DK. 45: Chirwa anakosa goli la wazi baada ya kubaki yeye na golikipa tu.

DK. 2 za nyongeza

HT: Yanga 1 - 0 Mo Bejaia

Kipindi cha pili kinaanza kwa yanga kufanya mabadiliko, anatoka Juma Abdul Na anaingia Said Juma Makapu.

DK. 48: Mo wanakosa goli la wazi kabisa, mshambuliaji alibaki Na kipa lakini kashindwa kufunga

DK. 53: yanga wanapata faulo jirani Na lango la Mo Na inapigwa Na Kamusoko lakini inakuwa haina madhara.

DK. 57: Dida kaumia Na mpira umesimama akifanyiwa matibabu.

DK. 59: Yanga wanatengeneza nafasi Na Msuva anakosa goli yeye Na kipa

DK. 61: Mo wanafanya shambulizi ktk lango la yanga lakini linakuwa halina madhara

DK. 62: Yanga wanatengeneza nafasi lakini Msuva anakosa nafasi ya kufunga kwa kupaisha mpira juu.

DK. 65: Kaseke anatolewa Na nafasi yake inachukuliwa Na Juma Mahadhi

DK. 68: yanga wanakosa tena nafasi ya wazi ya kufunga

DK. 77: Msuva anakosa goli la wazi

DK. 87: Chirwa anakosa goli la wazi kabisa

Dakika 5 za nyongeza baada ya Dakika 90 za kawaida kuisha.!

DK. 90+1: Mo wanafanya shambulizi ktk lango la yanga lakini wanakosa

FT: Yanga 1 - 0 MO Bejaia
 
TAZAMA LIVE
MOB-BEJAIA.COM TV Link: Un site de fans pour les fans du MOBejaia (MOB)
TEAM MOB:

........... RAHMANI

KHADIR......... SIDIBE...... BENMELOUKA ........ BENCHERIFA

BENTTAYEB ................ BAOUALI

YESLI

RAHAL .......... ATHMANI

BETORANGAL

Young Africans yanga vs MO Bejaia 1-0 Full highlights Résumé 13/08/2016
Published on 13 Aug 2016

Young Africans vs MO Bejaia 1-0 Amissi Tambwe Goal


Source: Kora gooal PF
 
Yanga wanapoteza nafasi za wazi
 
Half Time
Yanga 1 MO Bejaia 0
 
Mo bejaia wananiangusha sana leo. Walitakiwa waibamize yebo 2-1 au 3-1
 
HD WIDE SCREEN Live on youtube : Young Africans vs Mouloudia Olympique Bejaia

source: MOB-Bejaia.com
 
Mfumo wanaocheza Yanga unamfaa sana Ngoma ndio maana Tambwe na Chirwa hawafanyi chochote kwenye hii michuano
Yap....Ngoma angeshatakata sana Leo maana wapo vizuri sana.
 
Kipindi cha pili kinaanza dakika yoyote
 
Back
Top Bottom