Yanga Vs Mo Bejaia: Yanga yashinda 1 - 0 Mo Bejaia

Yanga Vs Mo Bejaia: Yanga yashinda 1 - 0 Mo Bejaia

Yanga kuna makosa ambayo huwa yanajirudia. Ukiangalia magoli yote waliyofungwa katika mashindano haya yanafanana.......poor marking.
 
Dida atakuwa Na maumivu katoa mpira nje ili apewe matibabu
 
Huwezi sema ni mbovu kwa kuangalia hizi mechi za kimataifa,wachezaji wengi wamecheza ovyo.Subiri atakavyokutana na vibonde kama Ndanda,Simba au JKT
Kweli katika ligi atang'ara
 
Huyu Msuva anakosa sana magoli,Ngoma angekuwepo leo MO Bejaia wangefungwa nyingi
 
Hiv why yanga they don't want to kill this game unakosaje magoli ya waz vile?
Hawa waarabu wakipata goli tu hapa shuhuli inaharibika
 
Kweli timu ya Yanga kama kawaida ya timu zetu za Tanzania nafasi za wazi kabisa hakuna magoli, anyway wanapata ''uzoefu'' wa kimataifa.
 
Hizi nafasi wanazokosa yanga watajuta endapo jamaa watasawazisha
 
Hiv why yanga they don't want to kill this game unakosaje magoli ya waz vile?
Hawa waarabu wakipata goli tu hapa shuhuli inaharibika

Tatizo wanacheza kama wanacheza ligi,Hawa MO Bejaia ni timu ya kawaida lakini wanajua kucheza haya mashindano
 
Back
Top Bottom