Yanga vs Mwadui: Musa Mbisa yuko golini tutarajie vituko na mauzauza leo

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Keeper la zamani la yanga under 20 ama kwa hakika ni mchezaji ambaye kajiwekea historia mbovu kwa goli la ajabu alilohakikisha linaingia golini.

Huyu hastahili tena kuonekana ligi kuu aende huko daraja la kwanza na apotelee kabisa atokomee.

Leo usiku yuko golini vs yanga natarajia mauzauza mengi toka kwake na leo kina sarpong wakishindwa kufunga hat trick nitashangaa sana

Screenshot_20210620-170240_SportPesa.jpg
 
Magoli yazidi matano
hahahahaha du ila kwa keeper yule inawewezekana mimi ndo najifunza betting bwasheeee jana nimeliwa buku na bet pawa sasa hivi hapa nimeweka tshs 100/= nimeshusha mkeka nimechanganaya na tennis na basketball unasoma 70,000 ngoja nisubiri miujiza
 
Wakati wenzako wanatafuta namna ya kuacha kubeti wewe ndio unaingia kweli kupanga ni kuchagua, Karibu kwenye maisha ya kuishi Kwa matumaini

Sisi kama serikali tunahitaji Sana mchango wako kwenye makato ya Kodi Kwa maendeleo ya Nchi yetu hivo napenda kuchukua nafasi hii kukukaribisha Rasmi kwenye Ulevi usiolewesha
 
hahahahaha sasa ndugu yangu kila siku natumia atleast 5000 kwenye pombe si bora buku iwe ya kubetia hiyo buku 4 iwe ya konyagi ndogo?
jana kama siyo draw ya ufaransa mkeka ulikuwa ni mamilioni ya pesa nachanganya na vi teams vya daraja la 4 ligi za ajabuajabu nachanganya na basketball na tennis leo nimeweka 100 natarajia 70 k
 
Na ameshatunguliwa goli la kijinga kabisa,.nashangaa huyu kocha bado anampanga tu.. Yaan huyu ni miongoni mwa wachezaji waliochangia kuishusha daraja timu
 
hahahahaha sasa ndugu yangu kila siku natumia atleast 5000 kwenye pombe si bora buku iwe ya kubetia hiyo buku 4 iwe ya konyagi ndogo?
jana kama siyo draw ya ufaransa mkeka ulikuwa ni mamilioni ya pesa nachanganya na vi teams vya daraja la 4 ligi za ajabuajabu nachanganya na basketball na tennis leo nimeweka 100 natarajia 70 k
Hahahaha, eti konyagi ndogo
 
Wakuu huwa mnatazamaje mechi, hila uyo mbisa mwadui ingekuwa inakula nyingi sana

Uto wameponea kwenye tundu la sindano
 
simba wenyewe waliwafunga goli moja wakati yanga waliwafunga tano uwanja wao

Lolote laweza tokea katika mechi
 
Back
Top Bottom