Yanga vs Njombe Mji

Hiki kiwango cha yanga wakikutana na azam,kagera sugar au mtibwa lazima wafungwe
 
Gongowazi kujinasbu kuwa kuna wafungaji mabao hatari. Hivi sasa mna goli ngapi?

Zama za Malinzi zimeisha
 
Muwe na hekima lakini, tangu lini singa united ikawa yanga B?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…