Na wasiwasi wangu mkubwa ni uwezo wa kimbinu wa kocha,maana kama leo naona tumezidiwa vibaya lakini kocha katulia tu hatoi mbinu mbadala
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wasiwasi wangu mkubwa ni uwezo wa kimbinu wa kocha,maana kama leo naona tumezidiwa vibaya lakini kocha katulia tu hatoi mbinu mbadala
Tena kufungwa siyo goli chache ni nyingi.Kule mbele Yanga yaani kumekufa kabisa sijui nini kimewapata,mipira inatoka nyuma inaishia katikati inarudi tena golini kwa YangaHiki kiwango cha yanga wakikutana na azam,kagera sugar au mtibwa lazima wafungwe
Halafu forward ambaye hayupo ni tambwe tuTena kufungwa siyo goli chache ni nyingi.Kule mbele Yanga yaani kumekufa kabisa sijui nini kimewapata,mipira inatoka nyuma inaishia katikati inarudi tena golini kwa Yanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu ubishi umewajaa hadi kero... Wewe unaongea umeona kwenye tv wakati mtangazaji alikanyaga uwanjaila uwanja sio mzuri kama mtangazaji alivyo sema .....uwanja mabonde mengi
Naww ni kocha wa majimaji?Aliikuta timu yenu vilaza ndo maana alitamba.
Game ya lipuli aliwekwa mfukoni na yule dogo wa Serengeti boys ,Ada
Majimaji tutamkabidhi Paul Mahona na hatotembea.
Yanga itarudi na point zote mikoani. Matopeni hawatakuwa na uhakika huo.Yaaani wewe umeongea ukweli mtupu.Na kule kulivyo kugumu kwa Yanga na huu mpira wanaocheza utafikiri wao ndiyo wameingia ligi kuu mwaka huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Malinzi ndiye mfunga magoli wa yanga?Gongowazi kujinasbu kuwa kuna wafungaji mabao hatari. Hivi sasa mna goli ngapi?
Zama za Malinzi zimeisha