Yanga vs Prison chamazi

Yanga vs Prison chamazi

Naona kama yanga wananunja mechi hii... Daliki nyingi
 
Marefarii na ma lines man wa kibongo mbona wazinguaji? Sasa offside inatoka wapi wakati mchezaji aliyetoa pasi na mfungaji walikuwa wamebaki na kipa pekee,
 
Kwa mbinde
9c7a2192d52c5a8cbb369df94526ab7c.jpg
 
Marefarii na ma lines man wa kibongo mbona wazinguaji? Sasa offside inatoka wapi wakati mchezaji aliyetoa pasi na mfungaji walikuwa wamebaki na kipa pekee,

Haina Shida Mkuu! Ni namba tu hizo.... Hesabu Yanga 2 - 1 Prison ...
 
Prisons yateseka kutoa safe na Yanga!Yanga yatoka kiume,yakataa kufungwa!Yasawazisha kwa bao saafi kabisa.Maaelezo zaidi ingia safiidauladar.com
 
Back
Top Bottom