Yanga vs Prison chamazi

Yanga vs Prison chamazi

Siamini kama ni Yanga "A" ile iliyoifunga Mbeya City Goli 5 ndio iliyocheza Leo na Prison na kufungana Goli 1 Kwa 1.Mwenye ushahidi Wa kuwa sio Yanga " B" autoe.
 
Tulisema mechi ya mbeya miamala ilisoma mkatoka povu...

23f31bee8c7b1b71bd5fb736d6b1c5e9.jpg
 
Nadhani viongozi na timu nzima hamjui thamani ya nembo ya yanga taratibu siku zenu zinaanza kuhesabika hatuwezi vumilia upuuzi wa sare kila siku
 
Siamini kama ni Yanga "A" ile iliyoifunga Mbeya City Goli 5 ndio iliyocheza Leo na Prison na kufungana Goli 1 Kwa 1.Mwenye ushahidi Wa kuwa sio Yanga " B" autoe.
Gongowazi hamna kitu....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Katika Timu za Majeshi Prisons hawa jamaa huwa ni hataree nilijua Leo mechi lazima iwe ngumu tu...Hongera kwao Leo Yanga wangejikuta Ukonga au Segerea bahati yao tu...
 
arsenal na ukongwe wake huwa anapigwa na wageni/vibonde wawe yanga.

hili suala la kawaida kwenye mpira, huwezi shinda kila siku.
 
Tulisema mechi ya mbeya miamala ilisoma mkatoka povu...

23f31bee8c7b1b71bd5fb736d6b1c5e9.jpg
umeangalia mpira, yanga kanyimwa goli lililo tafsiriwa kama offside ama napo aseme muamala umepita.

mambo ya kawaida kwenye mpira hayo
 
TFF na Vodacom hawataki Yanga I we bingwa Mara 4 mfululizo...tujiandae kisaikolojia
 
umeangalia mpira, yanga kanyimwa goli lililo tafsiriwa kama offside ama napo aseme muamala umepita.

mambo ya kawaida kwenye mpira hayo
Refa aliwabeba nyie vyura[emoji196] [emoji196] mliwachezea rafu nyingi hao wajela jela!
 
Back
Top Bottom