Yanga vs Prison chamazi

Naona kama yanga wananunja mechi hii... Daliki nyingi
 
Marefarii na ma lines man wa kibongo mbona wazinguaji? Sasa offside inatoka wapi wakati mchezaji aliyetoa pasi na mfungaji walikuwa wamebaki na kipa pekee,
 
Marefarii na ma lines man wa kibongo mbona wazinguaji? Sasa offside inatoka wapi wakati mchezaji aliyetoa pasi na mfungaji walikuwa wamebaki na kipa pekee,

Haina Shida Mkuu! Ni namba tu hizo.... Hesabu Yanga 2 - 1 Prison ...
 
Mkuu wamenikera sana hawa wajelajela nilitak wajipigie hata hata goal3 leo maan ndala fc walikuwa wanakata viuno tu uwanjani

Mkuu [HASHTAG]#YeboYebo[/HASHTAG] wana Mchezaji Wanamwita Puppy Vipi Leo alikuwemo? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Prisons yateseka kutoa safe na Yanga!Yanga yatoka kiume,yakataa kufungwa!Yasawazisha kwa bao saafi kabisa.Maaelezo zaidi ingia safiidauladar.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…