kimarabucha
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 791
- 621
Hautaamini sana.. Heko sana wajelajela.Siamini kama ni Yanga "A" ile iliyoifunga Mbeya City Goli 5 ndio iliyocheza Leo na Prison na kufungana Goli 1 Kwa 1.Mwenye ushahidi Wa kuwa sio Yanga " B" autoe.
Gongowazi hamna kitu....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siamini kama ni Yanga "A" ile iliyoifunga Mbeya City Goli 5 ndio iliyocheza Leo na Prison na kufungana Goli 1 Kwa 1.Mwenye ushahidi Wa kuwa sio Yanga " B" autoe.
umeangalia mpira, yanga kanyimwa goli lililo tafsiriwa kama offside ama napo aseme muamala umepita.Tulisema mechi ya mbeya miamala ilisoma mkatoka povu...
Sio wazembe.. Uwezo wao ndo uligota hapo.Ndala fc wazembe wameshindwa kuwafunga watu 9?
Yaani leo kumetulia utadhani mechi ya Yanga VS Prisons haikuchezwa jana!!Sio wazembe.. Uwezo wao ndo uligota hapo.
Refa aliwabeba nyie vyura[emoji196] [emoji196] mliwachezea rafu nyingi hao wajela jela!umeangalia mpira, yanga kanyimwa goli lililo tafsiriwa kama offside ama napo aseme muamala umepita.
mambo ya kawaida kwenye mpira hayo