mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Naskia wamerudishaDuhhh! Utopolo fc vipi Tena??
Waache wapo mbele mbele kama Tai ya MsabatoMikia mutaukimbia huu uzi.
Hayatuhusu sisi mabingwa [emoji881][emoji881][emoji881]Waache wapo mbele mbele kama Tai ya Msabato
Tabu iko pale paleWaache wapo mbele mbele kama Tai ya Msabato
Nawaona tu mnavyobana pu*** Yanga ifungweHayatuhusu sisi mabingwa [emoji881][emoji881][emoji881]
Tulia, Mashine zipo zinasoma mchezo....Tabu iko pale pale
Hivi ndio mlienda kupokea hizi kondoo JKNIA?
Mabingwa wa nini?Hayatuhusu sisi mabingwa [emoji881][emoji881][emoji881]