Yanga vs Prison kwa Mkapa VPL 2020/21

Yanga vs Prison kwa Mkapa VPL 2020/21

Utopolo wakishinda huwa wana kelele balaa.
 
Ukitaka kujuq utopolo hawaiamini timu yao hutawaona humu ila ilishinda utawaona humu
Utopolo humu huwezi kuwaona.
Ila Wananchi tuko mubashara kuwashangilia vijana wetu.
#Mbelenyumamwiko#
 
Wakuu tunaomba updates kutoka hapo kwa mkapa
 
Yanga msitutie aibu fungeni goli bana vipi watu wazima tenaa?
 
Duuh dakika 5 za nyongeza daah refa huu ni uhuni sasa.
 
Back
Top Bottom