Hahaha Kaka uto wameanza tena ule Utopolo wao.Haaaaa haaaaa kwishaaaaa
Unapigwa na nani sasa, Yanga au Prisons?tuongee ukweli mpira unapigwa
Jibu ni ndio.Gastadiola
Lazima watalalamika Fifa. Kwamba Simba inabebwa.
Hivi Yanga ikicheza ni lazima washindani wao wapate kadi nyekundu ?
Jibuni Swali
Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
La Kuvunda Halina Ubani ππUtopolo wameanzia walipoishia
Utopolo ni ile ile ila wamebadrisha majina ya wachezaji tuLa Kuvunda Halina Ubani [emoji3][emoji16]
Hebu ongea tena usikike! π π πLabda huangalii game, Yanga hii hata Barcelona hapati draw.
Mta chonga wee lakini safari hii ubingwa unarudi kwao.
Ndo basi tena....Hii gap mliyoisababisha leo itazidi kutanuka ....anzeni kupigia hesabu FA.....!! Ubingwa wa VPL msahau...