Ndiyo taarifa za ZZ Haji Mnara?Tusubiri mwamuzi dakika 90 na wachezaji wa yanga hawana morali kwa sababu ya madai yao hayajalipwa na yanga ipo hoi kiuchumi wenyewe wamekili ilo ndio maana napredict 4g
Mbumbumbu fc tuliza kiharageYanga wamevuka stage iliyowashinda mikia aka mbumbumbu fc hata Rage anajua. Sasa unaanzaje kulinganisha Giza na Nuru?
Mkuu Nyerere samahani post yangu hapo juu ilimuhusu mbumbumbu fc uliyemjibu imekuja kwako kimakosa nimeshindwa kuifutaYanga wamevuka stage iliyowashinda mikia aka mbumbumbu fc hata Rage anajua. Sasa unaanzaje kulinganisha Giza na Nuru?
Acha umbea, tulia uone mwanaume akiwajibika kuwakilisha taifa wewe ulishia njiani mbumbumbu mkubwa.
Klabu bigwa nyie mliishia wapi, tumetoka shirikisho kwa droo, nyinyi watembeza bakuli mmekuja shirikisho mmepigwa 4 bila, sasa hapo utajua nani mbumbumbu fc, naona lipuli wamewakazia mkono unawahusu leo
KAMA SISI TAIFA LETU LINAWAKILISHWA KWA KUPIGWA GOLI 4 KWA MTUNGI NA WAARABU BASI MIMI NAJITOA KATIKA KUWAKILISHWA HUKO NA SIDHANI KAMA KUNA TAIFA LITAKALOKUBALI KUWAKILISHWA KWA GOLI 4 KWA MTUNGI.
KWA VIPIGO HIVYO BASI NYINYI NJAA FC JUWENI KUWA MUNAJIWAKILISHA NYINYI TU [HASHTAG]#NDALA[/HASHTAG] MULIOZOEA KULIWA 4G NA SIO TAIFA LETU PENDWA.
Hapana, na Raja Casablanca.Kwani inachezwa na LIBOLO?
Unakumbuka Raja Casablanca?Unawakumbuka Libolo Fc ?
Milioni 600 zimeenda wapi??Tusubiri mwamuzi dakika 90 na wachezaji wa yanga hawana morali kwa sababu ya madai yao hayajalipwa na yanga ipo hoi kiuchumi wenyewe wamekili ilo ndio maana napredict 4g
Game halijanza? Sisi Wanyarwanda wa kukodiwa tunalifuatilia kwa karibu sana hili gemuKila la Kheri Timu Yangu Ya Nyumbani Ya RAYON ambayo itamgegeda MABANGI FC bila ya Ndomu
1. Youthe Rostand
2. Hassan Kessy
3. Gadiel Michael
4. Andrew Vincent
5. Kelvin Yondani
6. Thaban Kamusoko
7. Yusuph Mhilu
8. Pius Buswita
9. Obrey Chirwa
10. Juma Mahadhi
11. Geofrey Mwashiuya
Kikosi cha akiba
12. Ramadhani Kabwili
13. Abdalah Shaibu Ninja
14. Pato Ngonyani
15. Raphael Daudi
16. Emmanuel Martin
17. Yohana Mkomola
18. Amiss Tambwe
Game halijanza? Sisi Wanyarwanda wa kukodiwa tunalifuatilia kwa karibu sana hili gemu
Baada ya kuvuka hiyo stage, kinachotokea ni aibu!Yanga wamevuka stage iliyowashinda mikia aka mbumbumbu fc hata Rage anajua. Sasa unaanzaje kulinganisha Giza na Nuru?