Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Ndiyo taarifa za ZZ Haji Mnara?Tusubiri mwamuzi dakika 90 na wachezaji wa yanga hawana morali kwa sababu ya madai yao hayajalipwa na yanga ipo hoi kiuchumi wenyewe wamekili ilo ndio maana napredict 4g