Yanga vs Rayon sports

Yanga vs Rayon sports

Tusubiri mwamuzi dakika 90 na wachezaji wa yanga hawana morali kwa sababu ya madai yao hayajalipwa na yanga ipo hoi kiuchumi wenyewe wamekili ilo ndio maana napredict 4g
Ndiyo taarifa za ZZ Haji Mnara?
 
Kila la Kheri Timu Yangu Ya Nyumbani Ya RAYON ambayo itamgegeda MABANGI FC bila ya Ndomu
 
Yanga wamevuka stage iliyowashinda mikia aka mbumbumbu fc hata Rage anajua. Sasa unaanzaje kulinganisha Giza na Nuru?
Mkuu Nyerere samahani post yangu hapo juu ilimuhusu mbumbumbu fc uliyemjibu imekuja kwako kimakosa nimeshindwa kuifuta
 
Acha umbea, tulia uone mwanaume akiwajibika kuwakilisha taifa wewe ulishia njiani mbumbumbu mkubwa.

KAMA SISI TAIFA LETU LINAWAKILISHWA KWA KUPIGWA GOLI 4 KWA MTUNGI NA WAARABU BASI MIMI NAJITOA KATIKA KUWAKILISHWA HUKO NA SIDHANI KAMA KUNA TAIFA LITAKALOKUBALI KUWAKILISHWA KWA GOLI 4 KWA MTUNGI.

KWA VIPIGO HIVYO BASI NYINYI NJAA FC JUWENI KUWA MUNAJIWAKILISHA NYINYI TU [HASHTAG]#NDALA[/HASHTAG] MULIOZOEA KULIWA 4G NA SIO TAIFA LETU PENDWA.
 
Klabu bigwa nyie mliishia wapi, tumetoka shirikisho kwa droo, nyinyi watembeza bakuli mmekuja shirikisho mmepigwa 4 bila, sasa hapo utajua nani mbumbumbu fc, naona lipuli wamewakazia mkono unawahusu leo

Kweli Rage hakukosea ila wewe ni zaidi ya Mbumbumbu.
 
KAMA SISI TAIFA LETU LINAWAKILISHWA KWA KUPIGWA GOLI 4 KWA MTUNGI NA WAARABU BASI MIMI NAJITOA KATIKA KUWAKILISHWA HUKO NA SIDHANI KAMA KUNA TAIFA LITAKALOKUBALI KUWAKILISHWA KWA GOLI 4 KWA MTUNGI.

KWA VIPIGO HIVYO BASI NYINYI NJAA FC JUWENI KUWA MUNAJIWAKILISHA NYINYI TU [HASHTAG]#NDALA[/HASHTAG] MULIOZOEA KULIWA 4G NA SIO TAIFA LETU PENDWA.

Unawakumbuka Libolo Fc ?
 
Tusubiri mwamuzi dakika 90 na wachezaji wa yanga hawana morali kwa sababu ya madai yao hayajalipwa na yanga ipo hoi kiuchumi wenyewe wamekili ilo ndio maana napredict 4g
Milioni 600 zimeenda wapi??
 
1. Youthe Rostand
2. Hassan Kessy
3. Gadiel Michael
4. Andrew Vincent
5. Kelvin Yondani
6. Thaban Kamusoko
7. Yusuph Mhilu
8. Pius Buswita
9. Obrey Chirwa
10. Juma Mahadhi
11. Geofrey Mwashiuya

Kikosi cha akiba

12. Ramadhani Kabwili
13. Abdalah Shaibu Ninja
14. Pato Ngonyani
15. Raphael Daudi
16. Emmanuel Martin
17. Yohana Mkomola
18. Amiss Tambwe
 
kushabikia Yanga na Simba hakuna tofauti na kuwa mchawi!
 
1. Youthe Rostand
2. Hassan Kessy
3. Gadiel Michael
4. Andrew Vincent
5. Kelvin Yondani
6. Thaban Kamusoko
7. Yusuph Mhilu
8. Pius Buswita
9. Obrey Chirwa
10. Juma Mahadhi
11. Geofrey Mwashiuya

Kikosi cha akiba

12. Ramadhani Kabwili
13. Abdalah Shaibu Ninja
14. Pato Ngonyani
15. Raphael Daudi
16. Emmanuel Martin
17. Yohana Mkomola
18. Amiss Tambwe

Kwa Kikosi Hichi Cha MATE FC labda Kikacheze REDE ndiyo chaweza angalau Kutoa Sare.
 
Game halijanza? Sisi Wanyarwanda wa kukodiwa tunalifuatilia kwa karibu sana hili gemu

Leo Mimi Ni Mnyaruanda Halisi na Nitaiunga Mkono Timu Yangu Ya Nyumbani RAYON Kwa 100% ili Kumuangamiza NJAA KALI FC a.k.a wazee Wa Ukata
 
Back
Top Bottom