Yanga vs Rivers United (0-1) | CAFCL | Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam

Yanga vs Rivers United (0-1) | CAFCL | Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam

Eti ooh timu yenyewe imepata nafasi kwasababu wale waliomaliza nafasi ya pili walipokwa pointi kwa kumchezesha mchezaji mwenye kadi, sasa mbona timu iliyobebwa kwao inawatoa utumbo nyumbani kwenu?
Ooh timu yenyewe haina hata mchezaji mmoja kwenye timu ya taifa
 
Eti ooh timu yenyewe imepata nafasi kwasababu wale waliomaliza nafasi ya pili walipokwa pointi kwa kumchezesha mchezaji mwenye kadi, sasa mbona timu iliyobebwa kwao inawatoa utumbo nyumbani kwenu?
Yaani wanapelekeshwa hivi na timu ya sita kwenye msimamo wa ligi!
 
Sawa mtani nimekuelewa,lakini usiwe unasajili timu mpya kila mwaka,alafu usiwekeze kwenye propaganda ukaacha maandalizi ya timu.
Haya kunywa Pepsi big hapo kwa Mangi alafu ntalipa.
Sidhani kama msimu ujao haya makosa yatajirudia tena. Maana wachezaji walio sajiliwa msimu huu wana unafuu zaidi ukilinganisha na wale wa misimu miwili iliyopita.
 
Back
Top Bottom