Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Hata hivyo sisi Yanga wala hatukutaka kushiriki club bingwa, hawa Simba ndio waliosababisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh timu yenyewe haina hata mchezaji mmoja kwenye timu ya taifaEti ooh timu yenyewe imepata nafasi kwasababu wale waliomaliza nafasi ya pili walipokwa pointi kwa kumchezesha mchezaji mwenye kadi, sasa mbona timu iliyobebwa kwao inawatoa utumbo nyumbani kwenu?
Yaani wanapelekeshwa hivi na timu ya sita kwenye msimamo wa ligi!Eti ooh timu yenyewe imepata nafasi kwasababu wale waliomaliza nafasi ya pili walipokwa pointi kwa kumchezesha mchezaji mwenye kadi, sasa mbona timu iliyobebwa kwao inawatoa utumbo nyumbani kwenu?
Ni mapema sana kuihukumu hii timu.Yanga ni ile ile
Sawa mtani nimekuelewa,lakini usiwe unasajili timu mpya kila mwaka,alafu usiwekeze kwenye propaganda ukaacha maandalizi ya timu.Hii Yanga yetu ni tamu sana! Sema tu muunganiko na ukosefu wa utulivu kwa wachezaji wetu, ndiyo changamoto.
Unakumbuka kuna thread tulikuwa tunabishana na jamaa wa Yanga anasema Rivers hawana hata mchezaji mmoja timu ya taifa ni wepesiTena buza kwa mpalange
Ebo, kila siku mnalia muunganiko si mtafute kamba au mnyororo! na Manara msimsahau mumuunganishe kwenye hiyo gridi yenu.Hii Yanga yetu ni tamu sana! Sema tu muunganiko na ukosefu wa utulivu kwa wachezaji wetu, ndiyo changamoto.
Na meno yalivo mbovu wangeyatoa yoteKungekuwa na mashabiki leo wangemng'oa jino manara aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sidhani kama msimu ujao haya makosa yatajirudia tena. Maana wachezaji walio sajiliwa msimu huu wana unafuu zaidi ukilinganisha na wale wa misimu miwili iliyopita.Sawa mtani nimekuelewa,lakini usiwe unasajili timu mpya kila mwaka,alafu usiwekeze kwenye propaganda ukaacha maandalizi ya timu.
Haya kunywa Pepsi big hapo kwa Mangi alafu ntalipa.
Aisee ni aibu kubwa.Kabla ligi haijaanza kuna timu itakua haishiriki Michuano yoyote kwenye bara la Afrika......
Tupo tutawaonaNi mapema sana kuihukumu hii timu.