Sawa kaka kwenye hatua ya awali kuna game ya kwanza kabisa ambayo team inacheza ikifungwa inatoka moja kwa moja mfano ni Simba jinsi alivyotolewa na UD Songo alipotolewa alitoka moja kwa moja
Alafu kuna hatua inayofata baada ya hapo ambayo ni kama match ya pili baada ya ile ya awali,,, namaanisha game inayoipeleka team makundi ,,,hatua ambayo simba yupo saiz au yanga atakuwepo kama akifanikiwa kuwatoa rivers ,,, Hatua hiii ya pili team ya Club bingwa ikifungwa inapata nafasi ya kucheza shirikisho ni kama kilichomkuta platinum baada ya kutolewa na Simba kumbuka Simba alicheza na Platinum baada ya game ya awali dhidi ya plateau ya nigeria kama unahitaji maelezo zaid nipo tayari kujazia