Yanga vs Rivers United (0-1) | CAFCL | Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam

Yanga vs Rivers United (0-1) | CAFCL | Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam

Uto hawabebeki aisee
Screenshot_20210912-202227_1.jpg
 
Yanga ya kwenye Mwanaspoti kama una roho nyepesi unaweza dhani inafanana na Bayern Munich ya Ujerumani.
Yanga ya Maulid Kitenge, kama hujui Yanga unaweza kuifananisha na Barcelona.
Lakini ukija kuiona hiyo Yanga yenyewe sasa, hata Namungo ya Ruangwa ina nafuu
Mkuu waombe samahani Namungo, msimu uliopita walifika makundi Kwanini unawafananisha na mambo ya kijinga?
 
Daah, Young Africans tunafeli wapi?
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]muulize manara!!
 
Nina mashaka sana na uwezo wa huyu kocha wa Yanga Nabi, nilimsikia majuzi alivyokuwa akiongea inaonekana alikuwa hajiamini ni kama alikuwa na tashwishwi na uwezo wa timu yake kufanya vizuri katika mechi ya leo.

Halafu Yanga wanafahamu wana mechi kubwa muhimu ya kimataifa lakini hata hawafanyi maandalizi yoyote ya maana, eti wanacheza mechi ya kujipima nguvu na timu ya Pan Afrika, kweli..!!

Yanga hawakujiandaa na haya mashindano na wanavuna walichokipanda. Wajipange tu kwenye ligi, hawana kitu kwenye haya mashindano ya kimataifa. They're a shame.
Hapana kocha mtampa lawama za bure tu, ni yeye aliyeomba apewe muda wa miezi mitatu kwa ajili ya kupata combination ya timu kitokana na kusajiliwa wachezaji ambao hawakuwepo kwenye mpamgo wake

Utamlaumu kocha kwa lipi hapo na ndo kwanza tunaenda wiki ya pili hata mwezi haujaisha kumtisha kocha kupata huo muunganiko?
 
-Feisal Salum clear chance to score
-Yusuph Athuman one against one with goalkeeper
-Makambo two unlucky chances

-Zawadi Mauya poor mildified defending
-No threat movements for Ducapel Moloko
-Lack of clear penetration passes
-Lack of sure creative mildifieder

Football refer to a game of mistakes
One mistake, One goal

Unlucky day for Yanga
Let's go back champions
First leg is for them but second leg is for us with more goals
Bora ujipe moyo
Ila hakuna second leg wala fourth legs mnafungwaaaa!!!Yanga bado kimataifa huo ndo ukweli!
Mnamuamini manara mtu wa porojo kuliko reality!
 
Yanga ya kwenye Mwanaspoti kama una roho nyepesi unaweza dhani inafanana na Bayern Munich ya Ujerumani.
Yanga ya Maulid Kitenge, kama hujui Yanga unaweza kuifananisha na Barcelona.
Lakini ukija kuiona hiyo Yanga yenyewe sasa, hata Namungo ya Ruangwa ina nafuu
Ila mwanaspoti nuksiii! Wanavyoipambaa Yangaa daahh! Balaaa kila siku!
 
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]muulize manara!!
Hujaacha ushoga tu bado
 
Bora ujipe moyo
Ila hakuna second leg wala fourth legs mnafungwaaaa!!!Yanga bado kimataifa huo ndo ukweli!
Mnamuamini manara mtu wa porojo kuliko reality!
Sawa shoga ila hapa jukwaani hakuna mabasha
 
Back
Top Bottom