Yanga vs Rivers United (0-1) | CAFCL | Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Wakitolewa na rivers hawaendi hata shirikisho
Mkuu hebu ni fafanulie, ninavyojua anayetoka kwenye champion anaenda kucheza shirikisho isipokuwa wale watakaotolewa kwenye makundi
 
Inatakiwa afuzu kwenye duru ya pili ya mtoano ndo hapo akitolewa anapata nafasi ya kwenda Shirikisho
Hapo sawa mkuu nimekuelewa, kama ni hivyo hawa majamaa wana kazi nzito
 
Weka na za rivers mkuu.
 
Ingekuwa mechi ya ligi yetu ya ndani ya TPL.

Leo lawama zote zingeenda kwa TFF, Waamuzi na Simba SC.

Leo nadhani bado wanatafuta wa kumwangushia zigo la lawama.
Huenda akawa Manara tu.

Tatizo la Yanga wanajiona wako kiwango sawa na Simba na hasa wamewazidi kiwango wao wako juu.
Wanaona Simba alikuwa anashinda kirahisi mechi zake za kimataifa kwa Mkapa.

Hata hivi bado hawazinduki tu, wanaona wakimfunga Simba au kutoka nao sare naye basi wanajiweka juu kabisa.

Mpira jana tumeuona, Rivers walimiliki mpira vipindi vyote viwili.
Dakika 90 zote, shuti moja tu lililolenga goli.

Sawa tumeamini Yanga ni timu kubwa sana na inastahili kabisa kuwa ya 13 bora kwa Afrika kama Simba.
 
Manara ITC yake bado haijafika ndio mana hakucgezeshwa[emoji3]
 
Sawa kaka kwenye hatua ya awali kuna game ya kwanza kabisa ambayo team inacheza ikifungwa inatoka moja kwa moja mfano ni Simba jinsi alivyotolewa na UD Songo alipotolewa alitoka moja kwa moja


Alafu kuna hatua inayofata baada ya hapo ambayo ni kama match ya pili baada ya ile ya awali,,, namaanisha game inayoipeleka team makundi ,,,hatua ambayo simba yupo saiz au yanga atakuwepo kama akifanikiwa kuwatoa rivers ,,, Hatua hiii ya pili team ya Club bingwa ikifungwa inapata nafasi ya kucheza shirikisho ni kama kilichomkuta platinum baada ya kutolewa na Simba kumbuka Simba alicheza na Platinum baada ya game ya awali dhidi ya plateau ya nigeria kama unahitaji maelezo zaid nipo tayari kujazia
Mkuu hebu ni fafanulie, ninavyojua anayetoka kwenye champion anaenda kucheza shirikisho isipokuwa wale watakaotolewa kwenye makundi
 
Upo sahihi nimekulewa vyema kwa huo mfano wa ud songo na Platnums,maana Platnums alipottolewa na Simba alienda shirikisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…