Yanga vs Rivers United (0-1) | CAFCL | Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam

Nina uhakika kabisa kinachowapeleka Yanga Nigeria ni kuwaona AKI na UKWA [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiwasikia wanalalamika wanaonewa unaweza kufikiri Ni timu ya maana..kumbe upuuzi mtupu..
 
Mtu alilowa nyumbani akatia gundu uwanja wa mkapa
Tuna ya zungumzia ya leo, kaka halafu kwanza umeiona namba ya simu ya kocha Pablo ZBC2 wameipitisha au tulia hapo hapo wataipitisha tena kocha anaomba mumsaidie kufanya sub wahi tuma meseji yako kabla mpira haujaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…