Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Hi ndo tabu ya kubeba beba timu sijui tuwe wanne. Aheri tu hata tuwe tunaenda wenyewe kimataifa, au hata tupewe nafasi ya kuchagua timu za kwenda nazo.Yanga kama gari la kubebea maiti la kwanza kutangulia la mwisho kurudi😂😂