Tusubiri mpira uishe ndo tuongee....Mpira dakika 90 bana
Dakika ya 4 simba 1 Yanga 0
he he shughuli ipo ila najua mnyama lazima ashinde leo
heeee sijui nini kinaendelea mboni kimya haki ya Mungu sina amani moyoni
Adui mwombee njaa....Wisdom Ndlovu kapewa kadi nyekundu