Yanga vs Simba April 18 2010

Yanga vs Simba April 18 2010

Simba wanapata bao la 3.

Yanga 2 - Simba 3

Dakika ya 73. Emmanuel Okwi kafunga
 
Hongereni watani kwa ushindi...Yanga kama Arsenal tu....wamefulia
 
Kazi kweli kweli mimi nipo nalia hapa jangwani:angry:

Ila nafarijika kwa kichapo cha Chelsea jana!
 
Hadi raha, heko Msimbazi, lindeni hilo goli ili tushangilie kombe letu kwa ushindi dhidi ya watani zetu
 
Ila hiyo mechi ni kali...vijana wamsimbazi wawe macho na ulinzi maana kandambili kweli kapania....
 
Wachezaji wa Yanga wamepewa kadi nyekundu wawili sasa. Naona nidhamu ni ndogo sana Jangwani 🙂
 
Ni 3 simba 2yanga mpaka sasa informer hakunieleza dk maana kelele kibao uwanjani
 
du, watani wamechoka kucheza mpira, wameamua kupania kuumiza wachezaji wetu. waache hiyo tabia sisi bado tunawakilisha nchi katika mashindano ya kimataifa!!
 
wakuu mechi haijaisha tu?Hongera simba sc...sisi ndo wenye kuleta heshima hapa Tanzania tu.Watani poleni kwa kipigo..tumezingatia itifaki ya mwaka 2010 tu!
 
Back
Top Bottom