- Feb 10, 2006
- 4,324
- 13,967
Simba wanapata bao la 3.
Yanga 2 - Simba 3
Dakika ya 73. Emmanuel Okwi kafunga
Yanga 2 - Simba 3
Dakika ya 73. Emmanuel Okwi kafunga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaingia Ulimboka MwakingweHongereni watani kwa ushindi...Yanga kama Arsenal tu....wamefulia
Blantanda Broda! mbona uko kimya?
Mimi nafarijika kwa kichapo cha Arsenal na kichapo cha Yanga, nafarijika kiasi hahahaKazi kweli kweli mimi nipo nalia hapa jangwani:angry:
Ila nafarijika kwa kichapo cha Chelsea jana!
Nyamaza nitakuleteea pipi.Kazi kweli kweli mimi nipo nalia hapa jangwani:angry:
Ila nafarijika kwa kichapo cha Chelsea jana!
Ila hiyo mechi ni kali...vijana wamsimbazi wawe macho na ulinzi maana kandambili kweli kapania....