Yanga vs Simba April 18 2010

Yanga vs Simba April 18 2010

Wapi De Novo? usiwe kama washabiki wa Chelski mechi yao ikiwa inapigwa hwaonekani mpaka iishe. Wakishinda wanakuja kwa kasi wakifungwa wanajipa ban ya siku tatu
 
wakuu mechi haijaisha tu?Hongera simba sc...sisi ndo wenye kuleta heshima hapa Tanzania tu.Watani poleni kwa kipigo..tumezingatia itifaki ya mwaka 2010 tu!
Mkuu usimpongeze mtu.

Mambo yashabadilika hahahaha
 
Simba wanapata bao la 4

Simba 4 Yanga 3

Emmanuel Okwi tena

Dakika ya 90
 
Simba 4-3 yanga.... Simba hurrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrreeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
mh hii penati wameptaje hawa tena? Hivi Phiri alirudi?
 
Duh mkuu,yaani nikipost nakuta mambo yamebadilika...kweli mnyama anazingatia itifaki...kandambili leo wataenda kuomboleza kule walikotoa ubani
 
du, likirudi na hili basi itakuwa historia ya ajabu sana, yaani tutangulie mara nne na warudishe zote?
 
Nasubiri maneno ya mpira umekweishaaaa!
 
du, likirudi na hili basi itakuwa historia ya ajabu sana, yaani tutangulie mara nne na warudishe zote?

Kama arsenal na Wigan au sio? Wacha Simba wanipoze leo
 
Tumejitahidi though(pamoja na kufulia).........4-3 na wawili wamepewa red sio mbaya....Hongereni watani
 
Back
Top Bottom