fungi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 2,539
- 4,672
Kipindi cha pili kisifutwewafute goli la mkono, wakubali goli la simba (la mguu) then wafute mchezo maana sisi kucheza pungufu si jambo la mzaha kabisa...then mwamuzi aende jela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipindi cha pili kisifutwewafute goli la mkono, wakubali goli la simba (la mguu) then wafute mchezo maana sisi kucheza pungufu si jambo la mzaha kabisa...then mwamuzi aende jela
Hawa TFF nao ni tatizo sana,sasa mbona lile goli la yule mcheza Netball wameliacha!
BANGI MBAYA SANAHii mechi irudiwe kuanzia pale Mkude alipotelewa ila ile dakika ya ile kona ya kimataifa iachwe kama ilivo.
Teh teh teh duh jamaa alikuwa na chuki binafsi na simba hafai bora akaendelee na kasi yake ya uaskali magereza hukowafute goli la mkono, wakubali goli la simba (la mguu) then wafute mchezo maana sisi kucheza pungufu si jambo la mzaha kabisa...then mwamuzi aende jela
Hujajibu swali mkuu,wewe ulishawah ckia wapi goli limefutwa baada ya mechi haijslish lilikua halali au c halali?Lilistahili kufutwa kwa sababu haikuwa Netball
Lugha gongana[emoji41] [emoji41] [emoji41]Lifutwe kwani tambwe alikuwa anacheza netball wakati wenzake walikuwa wanacheza kandanda
Mtalialia sana but nothing will changeZitagongana sana,mnajiita wa kimataifa kumbe mmezowea mbereko mnafunga kwa mikono eti kisa refa akilikubali basi imetoka!
Yanga wanaanza kutetemeka wakisikia hayo mapendekezo ya kurudia mechi!Ulishawah kusikia wapi goli limefutwa baada ya mechi kuisha?
Wangeufuta na mchezo game ipigwe upya uwanja usiokuwa na mashabiki
Ndio hao hao walio ng'oa viti!BANGI MBAYA SANA
Kwani Tambwe ndio mchezaji wa Kwanza Duniani kufunga bao la Mkono wa Mungu?Zitagongana sana,mnajiita wa kimataifa kumbe mmezowea mbereko mnafunga kwa mikono eti kisa refa akilikubali basi imetoka!
Hahahahha unachekesha kweli. Eti Yanga wanaanza kutetemeka..Yanga wanaanza kutetemeka wakisikia hayo mapendekezo ya kurudia mechi!
Marefa wa Tanzania hawajaanza kupewa leo adhabu za aina hii!Duuuh saiv sasa tutacheza kwa nidhamu na kuheshimiana tunataka mpira wetu ufike mbali kwa adhabu hizi timu zitanyooka na kuheshimiana na marefa pia wataacha kuchezesha fyongo katika mechi...nymbafu sana
Assume limefutwa!Lilistahili kufutwa kwa sababu haikuwa Netball