Yanga Vs Simba: Kadi nyekundu ya Jonas Mkude yafutwa, Simba yalimwa milioni 5

Yanga Vs Simba: Kadi nyekundu ya Jonas Mkude yafutwa, Simba yalimwa milioni 5

Hawa TFF nao ni tatizo sana,sasa mbona lile goli la yule mcheza Netball wameliacha!

acha bangi ushawahi kuona goli likifutwa , thiery hendry alishika mpira kwenye finali za kuvuzu kombe la dunia
wapi ulisikia hicho kitu
 
wafute goli la mkono, wakubali goli la simba (la mguu) then wafute mchezo maana sisi kucheza pungufu si jambo la mzaha kabisa...then mwamuzi aende jela
Teh teh teh duh jamaa alikuwa na chuki binafsi na simba hafai bora akaendelee na kasi yake ya uaskali magereza huko
 
Duuuh saiv sasa tutacheza kwa nidhamu na kuheshimiana tunataka mpira wetu ufike mbali kwa adhabu hizi timu zitanyooka na kuheshimiana na marefa pia wataacha kuchezesha fyongo katika mechi...nymbafu sana
 
Hawa TFF nao washaanza figisu kama za yule msajili wa vyama... (msiniulize 'vyama' gani!)
 
Zitagongana sana,mnajiita wa kimataifa kumbe mmezowea mbereko mnafunga kwa mikono eti kisa refa akilikubali basi imetoka!
Kwani Tambwe ndio mchezaji wa Kwanza Duniani kufunga bao la Mkono wa Mungu?
 
Mbona zile rufaa za kupanga matokeo hazisikilizwi?
 
Limenishangaza hili la kadi nyekundu kufutwa kqa sababu ya marudio ya kwenye TV...

Sasa sijui mechi ambazo hazionyeshwi kwenye TV na zenye utata zinatatuliwaje?
 
Yanga wanaanza kutetemeka wakisikia hayo mapendekezo ya kurudia mechi!
Hahahahha unachekesha kweli. Eti Yanga wanaanza kutetemeka..

KATI YA MECHI 7 ZILIZOPITA ULIZOCHEZA NA YANGA UMESHINDA MOJA (1) TU.

sasa mtu kama huyo anaogipwaje?

By the way! NENDA KAPITIE REKODI ZA UJUMLA ZA SIMBA DHIDI YA YANGA.

angalia jumla ya idadi za mechi.

Nani ameshinda mechi nyingi!

Nani amemfunga mwenzake mabao mengi! N.K
 
hivi hiyo hali ya kufuta kadi hata kwa wenzetu ipo au si tunaiga wapi maana sielewi naona mauzauza tu
 
Duuuh saiv sasa tutacheza kwa nidhamu na kuheshimiana tunataka mpira wetu ufike mbali kwa adhabu hizi timu zitanyooka na kuheshimiana na marefa pia wataacha kuchezesha fyongo katika mechi...nymbafu sana
Marefa wa Tanzania hawajaanza kupewa leo adhabu za aina hii!

Umesahau yule aliyefungiwa Maisha? Je ilisaidia wengine kuwa na nidhamu? Jibu ni hapana.

Kama hakuna Program madhubuti ya kuandaa waamuzi wenye Ubora, basi adhabu hizi ni bure kabisa.
 
Back
Top Bottom