Heisenberg blue meth
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,310
- 1,633
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga 1 - Simba 3
Please edit hisa za MO ni 49% na sio 51%Watani wa jadi tukutane hapa, kuelekea mechi ya Jumapili March 8 na mechi nyingine zijazo.
Yanga Sc (jina kamili ni Young Africans Sports Club zamani "KUALA LAMPUR)
ni timu ya soka ya mjini Dar es Salaam iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935 inayoshirikiLigi Kuu Tanzania Bara na ni mabingwa mara 27 nchini humo, Yanga ni mabingwa mara 5 kombe la mabingwa Afrika Mashariki Kagame.
Yanga Sc
Jina la utani - Wanajangwani
Uwanja - Uwanja wa Taifa /Uhuru Stadium
Mwenyekiti - Mshindo Msolla
Kocha - Luc Aymael
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Simba Sports (Zamani Sundeland)
Club ni timu ya soka iliyopo mtaa wa Msimbazi, Kariakoo, katika jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara
Ni mabingwa mara 20 wa ligi ya tanzania bara, pia ni mabingwa mara 6 katika kombe la Kagame.[1]
Mechi zao za nyumbani zinachezwa kwenye viwanja viwili, Uwanja wa Uhuru na Uwanja wa Taifa.
Simba Sports Club ni mojawapo ya timu kubwa ya mpira wa miguu nchini Tanzania, wapinzani wao wanaitwa Vijana wa Afrika yaani Younɡ Africans.
Mwanahisa - Mohammed Gulam Dewji (anamiliki 51% ya simba Sc)
Kocha - Sven Ludwig Vandenbroeck
View attachment 1377576View attachment 1377577
Sent using Jamii Forums mobile app
Jikite kwenye mada yawezekana ni typing errorHivi Ni Kualalampur Au Kualalumpar Malaysia?
Kuala lumpur "kwala lumpa! "Hivi Ni Kualalampur Au Kualalumpar Malaysia?
[emoji23][emoji56][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] View attachment 1377722
SIMBA 4-1 YANGA.
hiki kitakuwa kipigo cha mbwa koko ili msituzoee
[emoji3][emoji3]Kitombise, Timu yako itafanywa 2-0, jiandae kuzimiaaaa au andika Wosia kabisa.
tusubiri tuone hiyo tar. 8Kitombise, Timu yako itafanywa 2-0, jiandae kuzimiaaaa au andika Wosia kabisa.
tusubiri tuone hiyo tar. 8