Yanga Vs Simba Special Thread

Yanga Vs Simba Special Thread

Watani wa jadi tukutane hapa, kuelekea mechi ya Jumapili March 8 na mechi nyingine zijazo.



Yanga Sc (jina kamili ni Young Africans Sports Club zamani "KUALA LAMPUR)

ni timu ya soka ya mjini Dar es Salaam iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935 inayoshirikiLigi Kuu Tanzania Bara na ni mabingwa mara 27 nchini humo, Yanga ni mabingwa mara 5 kombe la mabingwa Afrika Mashariki Kagame.

Yanga Sc

Jina la utani - Wanajangwani

Uwanja - Uwanja wa Taifa /Uhuru Stadium

Mwenyekiti - Mshindo Msolla

Kocha - Luc Aymael


.
.
.
.
.
.
.
.
.


Simba Sports (Zamani Sundeland)

Club ni timu ya soka iliyopo mtaa wa Msimbazi, Kariakoo, katika jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara

Ni mabingwa mara 20 wa ligi ya tanzania bara, pia ni mabingwa mara 6 katika kombe la Kagame.[1]

Mechi zao za nyumbani zinachezwa kwenye viwanja viwili, Uwanja wa Uhuru na Uwanja wa Taifa.

Simba Sports Club ni mojawapo ya timu kubwa ya mpira wa miguu nchini Tanzania, wapinzani wao wanaitwa Vijana wa Afrika yaani Younɡ Africans.


Mwanahisa - Mohammed Gulam Dewji (anamiliki 51% ya simba Sc)

Kocha - Sven Ludwig Vandenbroeck

View attachment 1377576View attachment 1377577

Sent using Jamii Forums mobile app
Please edit hisa za MO ni 49% na sio 51%
 
SIMBA 4-1 YANGA.
hiki kitakuwa kipigo cha mbwa koko ili msituzoee
 
this is simba
IMG_20200305_141746.jpg
IMG_20200305_141746.jpg
 
Huuu naona ni uzi wa Malalamiko FC kuleta masikhara, anyway ngoja tumsubir Ghazwat aaanzishe uzi spesheli wa Wanamsimbazi kujimwambafai na Mechi ya Machi 8
 
Hivi najiuliza nakosa majibu, Yanga wanajiamini kwa kitu gani kukaa hata mitandaoni, achilia mbali kuingia uwanjani?
 
Back
Top Bottom