Yanga Vs Simba Special Thread

Yanga Vs Simba Special Thread

ungeandika Simba ni mabingwa mara 21 kwa sababu sioni mijuiza yote ya kuizuia Simba kuchukua kombe msimu huu
 
yanga walikuwa wamezoea kujaa kwenye nyuzi zinazohusu game za Simba lakini kwenye game zao walikuwa wanakimbia ila sasa hawana ujanja wakimbie na hii
 
Hatukimbii na tunakugonga tu, we tulia nyie mmesema MNA jambo lenu, na sisi tunasema tunalo tukio muhimu tarehe 08, "TUNAOA" Karibuni nyoote mshuhudie Harusi ya kukata na shoka.

umeshaona wanaume wanatengeneza sare kwa ajili ya sherehe nyinyi ndio mtaolewa siku hiyo na sare zenu mlizotengeneza
 
Mimi ni shabiki nguli wa Yanga SC niache unafiki na ushabiki, sisi hatuna timu ya kuifunga Simba SC kwa sasa
FT yanga 1- 4 Simba
Wewe Mikia tunakujua, Yanga hakuna mashabiki minafiki kama wewe. Yanga mbele daima nyuma mwiko.
 
Mapema leo
Screenshot_20200307-191527~2.jpeg
Screenshot_20200307-191548~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom