Yanga vs zamaleck

Dio

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
1,274
Reaction score
159
Jamani tupeane yanayojiri huko Misri
 
Inamaana huna matokeo mpaka sasa kifupi ni kwamba yanga kasha tandikwa tatu bila kabla ya game
 
Leo yanga mpaka na wasikitikia....eti baridi, mara vifaru, mara kocha katoloka na davis mwape hahahahah leo mnalo...
 
Acha upimbi wewe Mpira unaanza baada ya dak 20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…