BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,732
- 5,006
umemwonea alitakiwa aitwe bibi kabisa akusoma nykati is/are/were/was teeheteeehhhhhh have/had kwei kweiSoma nilichokiandika acha kukurupuka wewe mama...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umemwonea alitakiwa aitwe bibi kabisa akusoma nykati is/are/were/was teeheteeehhhhhh have/had kwei kweiSoma nilichokiandika acha kukurupuka wewe mama...
Naomba isomeke hivi: in agregate, Zamalek 3 Yanga 1Bado ni HT.
Zamalek 1 Yanga 0
Inamaana huna matokeo mpaka sasa kifupi ni kwamba yanga kasha tandikwa tatu bila kabla ya game
Kama una internet safi nenda hapa Michezo - Teknohama Bongo utaicheki moja kwa moja lakini kwa lugha ya kirabu.
Then
Bonyeza hapo Alzamalek V Young African then bofya link
pouwa mkuuuu,vp lakini kuna matumaini ya kurudisha hilo goli?.
hatari kweli kwelikwa kweli matumaini ni madogo sana kwani zamalek wanawashambulia sana yanga
Yanga anafungwa bao la pili