Yanga vs zamaleck

Yanga vs zamaleck

du hongera sana yanga yaani mmefungwa goli moja tu hakikaninawapongeza kwa dhati kabisa makosa mliyafanya hapa nyumbani..subirini wanaume kesho uone kazi...
 
Kwa Hiyo wadau mlidhani YANGA watawatoa hawa Maarab! kazi kweli kweli
 
Zamaleki 1-0 Yanga FT Hivyo Yanga out kwa jumla ya 2-1.
 
Duuuh lakini yanga wanamkosi kweli kila wakipangwa wanaanza na team za egypt ambazo ni ngumu kuzitoa.hii zamalek haikuwa ya kutisha sana kwa wale tulioenda pale taifa sema ndio sikio la kufa. Yanga iombe tactics kwa simba kuwafunga warabu.
Mkuu ulitaka waanze na timu gani nyepesi wakati Yanga yenyewe ndio nyepesi?
 
Back
Top Bottom