Yanga vs zamaleck

nimeandika thread naona mod kaitoa leo YANGA 1 ZAMALEK 3
KESHO SIMBA 2 KIYOVU 1 GAME OVER INGAWA MPAKA SASA SIMBA NAONA ANAWEZA KUONGEZA IDADI
 
Yanga wameanza kipindi cha pili kwa kasi na wamekosa bao la wazi.
Nsajigwa anapewa kadi ya njano
 
Yanga wameanza kipindi cha pili kwa kasi na wamekosa bao la wazi.
Nsajigwa anapewa kadi ya njano

pouwa mkuuuu,vp lakini kuna matumaini ya kurudisha hilo goli?.
 
nimeandika thread naona mod kaitoa leo YANGA 1 ZAMALEK 3
KESHO SIMBA 2 KIYOVU 1 GAME OVER INGAWA MPAKA SASA SIMBA NAONA ANAWEZA KUONGEZA IDADI

umeweka kwenye jukwaa gani?
 
Kama una internet safi nenda hapa Michezo - Teknohama Bongo utaicheki moja kwa moja lakini kwa lugha ya kirabu.

Then
Bonyeza hapo Alzamalek V Young African then bofya link
 
Mechi hii ilishakwisha tangu Dar es salaam baada ya Yanga kuishindwa kuifunga Zamalek nyumbani, nawaomba Yanga wenzangu msipoteze muda wenu kutalajia lolote jipya kwenye mechi hii, timu imekwenda kule Cairo kukamilisha ratiba tu. huu ndio ukweli mchungu.
 
Kuna huyo anaitwa Shikabala anawasumbua sana mabeki wa Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…