Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Asanteni wote kwa kutupa up2date.
MUNGU awabariki ili muwe na moyo huo huo,
Kwa Hiyo wadau mlidhani YANGA watawatoa hawa Maarab! kazi kweli kweli
yanga anashinda
Mkuu ulitaka waanze na timu gani nyepesi wakati Yanga yenyewe ndio nyepesi?Duuuh lakini yanga wanamkosi kweli kila wakipangwa wanaanza na team za egypt ambazo ni ngumu kuzitoa.hii zamalek haikuwa ya kutisha sana kwa wale tulioenda pale taifa sema ndio sikio la kufa. Yanga iombe tactics kwa simba kuwafunga warabu.
Un
akanyagwa wewe na kesho saa mbili nitakuwa nimecover seat upande wa kushoto taifa na tshirt yangu ya kiyovi.
Zamaleki 1-0 Yanga FT Hivyo Yanga out kwa jumla ya 2-1.
astaghafifulah!!..... Yaani wewe mtumishi wa mungu unamwita mama!!