Yanga waache kujipendekeza Zanzibar?

Yanga waache kujipendekeza Zanzibar?

Muasisi wa Yanga Mzee Karume ni mzinzibari hivyo Yanga kucheza Zanzibar ni kumuenzi , ni jambo zuri sana.

Yanga angalieni mchezaji striker mwenye uchu wa kufunga anaitwa LOKALE anacheza AFC Leopards ya Kenya. Huyu ni figher ana sifa za kucheza Yanga one day.
 
Hakuna timu inayojua kujipendekeza duniani kama Yanga. Kitendo cha kupelekea mechi Zanzibar ni dalili zote za shobo na kujipendekeza kwa Wazenji.

Nasubiria mapovu, nipo mtaa wa Lindanda hapa napata gahawa
Wazanzibar wamekukosea nini mkuu?
 
Zanzibar Yanga ndio inaongoza kuwa na mashabiki wengi..,
Hebu kuwa serious mkuu, Wazanzibar population yao ni 1.8m wakati Watanganyika tuko 61m+. Hakuna muujiza wowote wa hesabu unaloweza fanya 1.8 > 61m.
 
Yanga ndio timu yenye washabiki/wapenzi wengi Zanzibar..,sijui kama umeelewa.
 
Muasisi wa Yanga Mzee Karume ni mzinzibari hivyo Yanga kucheza Zanzibar ni kumuenzi , ni jambo zuri sana.

Yanga angalieni mchezaji striker mwenye uchu wa kufunga anaitwa LOKALE anacheza AFC Leopards ya Kenya. Huyu ni figher ana sifa za kucheza Yanga one day.
Karume sio muasisi wa yanga, yanga ilianzishwa mwaka 2935 wakati huo Karume haikuwepo.
 
Hakuna timu inayojua kujipendekeza duniani kama Yanga. Kitendo cha kupelekea mechi Zanzibar ni dalili zote za shobo na kujipendekeza kwa Wazenji.

Nasubiria mapovu, nipo mtaa wa Lindanda hapa napata gahawa
Umejifungulia zahanati ipi mkuu?
 
Back
Top Bottom