Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Azam vs Simba kupigwa Zbar hapo vipi ??Hakuna timu inayojua kujipendekeza duniani kama Yanga. Kitendo cha kupelekea mechi Zanzibar ni dalili zote za shobo na kujipendekeza kwa Wazenji.
Nasubiria mapovu, nipo mtaa wa Lindanda hapa napata gahawa
Mzizima Derby iko Zanzibar ( Azam vs Kolo). Sijui uso wako utaufunika utupu wako!!Hakuna timu inayojua kujipendekeza duniani kama Yanga. Kitendo cha kupelekea mechi Zanzibar ni dalili zote za shobo na kujipendekeza kwa Wazenji.
Nasubiria mapovu, nipo mtaa wa Lindanda hapa napata gahawa
Swali zuri.Naomba kujua hivi kule zenji hakuna wanachama wa Young Africans? Au hii timu ni mali ya wanachama waliopo bara peke yao?
Wazanzibar wamekukosea nini mkuu?Hakuna timu inayojua kujipendekeza duniani kama Yanga. Kitendo cha kupelekea mechi Zanzibar ni dalili zote za shobo na kujipendekeza kwa Wazenji.
Nasubiria mapovu, nipo mtaa wa Lindanda hapa napata gahawa
Hebu kuwa serious mkuu, Wazanzibar population yao ni 1.8m wakati Watanganyika tuko 61m+. Hakuna muujiza wowote wa hesabu unaloweza fanya 1.8 > 61m.Zanzibar Yanga ndio inaongoza kuwa na mashabiki wengi..,
Yanga ndio timu yenye washabiki/wapenzi wengi Zanzibar..,sijui kama umeelewa.Hebu kuwa serious mkuu, Wazanzibar population yao ni 1.8m wakati Watanganyika tuko 61m+. Hakuna muujiza wowote wa hesabu unaloweza fanya 1.8 > 61m.
Karume sio muasisi wa yanga, yanga ilianzishwa mwaka 2935 wakati huo Karume haikuwepo.Muasisi wa Yanga Mzee Karume ni mzinzibari hivyo Yanga kucheza Zanzibar ni kumuenzi , ni jambo zuri sana.
Yanga angalieni mchezaji striker mwenye uchu wa kufunga anaitwa LOKALE anacheza AFC Leopards ya Kenya. Huyu ni figher ana sifa za kucheza Yanga one day.
Umejifungulia zahanati ipi mkuu?Hakuna timu inayojua kujipendekeza duniani kama Yanga. Kitendo cha kupelekea mechi Zanzibar ni dalili zote za shobo na kujipendekeza kwa Wazenji.
Nasubiria mapovu, nipo mtaa wa Lindanda hapa napata gahawa
Mmiliki wa Azam ni mzenji kwahiyo kaamua kupeleka mechi nyumbani kwao, simba hana maamuzi na hiyo mechi.Mzizima Derby iko Zanzibar ( Azam vs Kolo). Sijui uso wako utaufunika utupu wako!!
ni dhahiri umebanwa maviHakuna timu inayojua kujipendekeza duniani kama Yanga. Kitendo cha kupelekea mechi Zanzibar ni dalili zote za shobo na kujipendekeza kwa Wazenji.
Nasubiria mapovu, nipo mtaa wa Lindanda hapa napata gahawa