pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,710
- 6,372
Timu ikishakuwa na viongozi kama Mwigulu Nchemba, Antoni Mavunde, Rizwani Kikwette, na majitu kama hayo kutoka CCM...haiwezi kuwa timu tena, bali genge la fitna, rushwa na maujinga kibao!!Ligi Ina timu 16 basi tuseme wameungana na ndugu yao mwigulu na singida yake zimebaki timu 14, alafu wakataka ligi iendeshwe wanavyotaka wao yaani waweke watu wao ndo waongoze TFF wanataka maamuzi yao ndiyo yatekekelezwe iwe uwanjani Hadi uongozini, na wanatishia wakiwa nyuma ya viongozi wa kisiasa Tena kwa ushabiki wao wanachocheana ili kuitishia TFF wafate matakwa yao siyo Sheria za soka.
Hao viongozi wa kisiasa waliwatuma waende CAS wakaangukia pua Fifa ikawashauri wakawe na maelewano na TFF kwa aibu wakashindwa kutekeleza ushauri wa Fifa wakamtuma mtu mahakamani mahakama ikasimamia Sheria ikawafukuza ikawaelekeza waende wakasuluhishane kimpira.
Wakatumia Hadi wabunge wamrengo wao bungeni ili waliingize kisiasa serikali ikasema haiingilii maswala ya soka.
Sasa wamebaki na silaha Moja ya kuwatia viongozi presha kwa kuwatishia maisha ili tu Aibu wanayoipata iishe, na Viongozi wa TFF wakitii matakwa yao watakua wamejidhalilisha sana.
Yanga wanataka wafute aibu yao waliyoipata baada ya kuangukia pua kule CAS kwa njia yoyote Ile hata kwa kuvuruga amani ya nchi kwa kuchochea chuki kwa wafwasi wao make ukisikia wanadai 'hakuna mtu wa kuchukua hata nusu pointi ajaribu aone'' maana yake wamejiandaa kufanya fujo make sehemu zote wameshindwa kusikilizwa sio CAS ama serikalini ama Mahakama za kiraia kote wameonekana kituko.
TFF wsikubali kuyumbishwa na hivi vilabu.
Bodi ya ligi wako kama sanamu,(figure heads)Ligi Ina timu 16 basi tuseme wameungana na ndugu yao mwigulu na singida yake zimebaki timu 14, alafu wakataka ligi iendeshwe wanavyotaka wao yaani waweke watu wao ndo waongoze TFF wanataka maamuzi yao ndiyo yatekekelezwe iwe uwanjani Hadi uongozini, na wanatishia wakiwa nyuma ya viongozi wa kisiasa Tena kwa ushabiki wao wanachocheana ili kuitishia TFF wafate matakwa yao siyo Sheria za soka.
Hao viongozi wa kisiasa waliwatuma waende CAS wakaangukia pua Fifa ikawashauri wakawe na maelewano na TFF kwa aibu wakashindwa kutekeleza ushauri wa Fifa wakamtuma mtu mahakamani mahakama ikasimamia Sheria ikawafukuza ikawaelekeza waende wakasuluhishane kimpira.
Wakatumia Hadi wabunge wamrengo wao bungeni ili waliingize kisiasa serikali ikasema haiingilii maswala ya soka.
Sasa wamebaki na silaha Moja ya kuwatia viongozi presha kwa kuwatishia maisha ili tu Aibu wanayoipata iishe, na Viongozi wa TFF wakitii matakwa yao watakua wamejidhalilisha sana.
Yanga wanataka wafute aibu yao waliyoipata baada ya kuangukia pua kule CAS kwa njia yoyote Ile hata kwa kuvuruga amani ya nchi kwa kuchochea chuki kwa wafwasi wao make ukisikia wanadai 'hakuna mtu wa kuchukua hata nusu pointi ajaribu aone'' maana yake wamejiandaa kufanya fujo make sehemu zote wameshindwa kusikilizwa sio CAS ama serikalini ama Mahakama za kiraia kote wameonekana kituko.
TFF wsikubali kuyumbishwa na hivi vilabu.
Umeandika nini sasa hii?Ligi Ina timu 16 basi tuseme wameungana na ndugu yao mwigulu na singida yake zimebaki timu 14, alafu wakataka ligi iendeshwe wanavyotaka wao yaani waweke watu wao ndo waongoze TFF wanataka maamuzi yao ndiyo yatekekelezwe iwe uwanjani Hadi uongozini, na wanatishia wakiwa nyuma ya viongozi wa kisiasa Tena kwa ushabiki wao wanachocheana ili kuitishia TFF wafate matakwa yao siyo Sheria za soka.
Hao viongozi wa kisiasa waliwatuma waende CAS wakaangukia pua Fifa ikawashauri wakawe na maelewano na TFF kwa aibu wakashindwa kutekeleza ushauri wa Fifa wakamtuma mtu mahakamani mahakama ikasimamia Sheria ikawafukuza ikawaelekeza waende wakasuluhishane kimpira.
Wakatumia Hadi wabunge wamrengo wao bungeni ili waliingize kisiasa serikali ikasema haiingilii maswala ya soka.
Sasa wamebaki na silaha Moja ya kuwatia viongozi presha kwa kuwatishia maisha ili tu Aibu wanayoipata iishe, na Viongozi wa TFF wakitii matakwa yao watakua wamejidhalilisha sana.
Yanga wanataka wafute aibu yao waliyoipata baada ya kuangukia pua kule CAS kwa njia yoyote Ile hata kwa kuvuruga amani ya nchi kwa kuchochea chuki kwa wafwasi wao make ukisikia wanadai 'hakuna mtu wa kuchukua hata nusu pointi ajaribu aone'' maana yake wamejiandaa kufanya fujo make sehemu zote wameshindwa kusikilizwa sio CAS ama serikalini ama Mahakama za kiraia kote wameonekana kituko.
TFF wsikubali kuyumbishwa na hivi vilabu.
Ma mkwe shikamoo...Simba wamekuwa kwa muda mrefu wakifaidika na mfumo wa uongozi wa Tff na bodi ya ligi , Walicho fanikiwa Yanga ni kutengeneza timu imara ambayo itapambana uwanjani na wamefanikiwa.
Baada ya Simba kugundua hawawezi kupambana na Yanga uwanjani wakaja na mbinu za nje ya uwanja uko nje wamepambana lakini Bado wameshindwa.
Kama Yanga watafanikiwa kuondoa nguzo/kichaka kilicho bakia cha viongozi wa Tff/bodi ya ligi, Simba Watakua katika anguko kuu ambalo hawata weza kuhimili.
Yanga wanacho dai ni haki yao ambayo walinyang'anywa na Bodi ili Simba inufaike na hawata fanikiwa.
Hakuna klabu kwenye ligi hii ambayo haijanufaika na makosa ya waamuzi siyo ligi hii tu hata huko duniani makosa ya waamuzi yapo.Simba wamekuwa kwa muda mrefu wakifaidika na mfumo wa uongozi wa Tff na bodi ya ligi , Walicho fanikiwa Yanga ni kutengeneza timu imara ambayo itapambana uwanjani na wamefanikiwa.
Baada ya Simba kugundua hawawezi kupambana na Yanga uwanjani wakaja na mbinu za nje ya uwanja uko nje wamepambana lakini Bado wameshindwa.
Kama Yanga watafanikiwa kuondoa nguzo/kichaka kilicho bakia cha viongozi wa Tff/bodi ya ligi, Simba Watakua katika anguko kuu ambalo hawata weza kuhimili.
Yanga wanacho dai ni haki yao ambayo walinyang'anywa na Bodi ili Simba inufaike na hawata fanikiwa.
June 15 si bado siku 4 tu.Simba wamekuwa kwa muda mrefu wakifaidika na mfumo wa uongozi wa Tff na bodi ya ligi , Walicho fanikiwa Yanga ni kutengeneza timu imara ambayo itapambana uwanjani na wamefanikiwa.
Baada ya Simba kugundua hawawezi kupambana na Yanga uwanjani wakaja na mbinu za nje ya uwanja uko nje wamepambana lakini Bado wameshindwa.
Kama Yanga watafanikiwa kuondoa nguzo/kichaka kilicho bakia cha viongozi wa Tff/bodi ya ligi, Simba Watakua katika anguko kuu ambalo hawata weza kuhimili.
Yanga wanacho dai ni haki yao ambayo walinyang'anywa na Bodi ili Simba inufaike na hawata fanikiwa.
Wameanza vitisho Kwa TFFYanga wanadekadeka sana.
Bodi ya ligi imewapiga chini
CAS
Mahakama imewapiga chini
Wamebaki kutapatapa
Hii sasa ndio point yenyewe. Hapa watu wanasaka fungu la afcon 2027 hamna lolote. Watu watoke wao waingie walambe asali ya afcon 2027.Mpira ushajaa siasa tayari. Ukiona mtu, msemaji wa club ya soka anatoa masharti ya aina ile ujue kuna wanasiasa nyuma yake hakuna jingine.