Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 4,280
- 7,485
Wakati wananunua mechi hakukuwa na kelele. Wanaona msimu huu mambo magumu wanaanza kuropoka.
Umejiongeza kweli, hahahaHii sasa ndio point yenyewe. Hapa watu wanasaka fungu la afcon 2027 hamna lolote. Watu watoke wao waingie walambe asali ya afcon 2027.
Ndio hivyo mwanawane kwenye maulaji watu wanakutoa roho sii mchezo.Umejiongeza kweli, hahaha